Genesis 22:20
Baada ya muda, Abrahamu akaambiwa, “Milka pia amepata watoto, amemzalia ndugu yako Nahori wana:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Usi mzaliwa wake wa kwanza, Buzi nduguye, Kemueli (baba wa Aramu),
Cross References
Genesis 11:26Tera alipokuwa na miaka sabini, akamzaa Abramu, Nahori na Harani. 1 Wazao Wa Tera
Genesis 11:29Abramu na Nahori walioa. Mke wa Abramu aliitwa Sarai, na mke wa Nahori aliitwa Milka; Milka na Iska walikuwa watoto wa Harani.
Genesis 24:10Ndipo huyo mtumishi akachukua ngamia kumi miongoni mwa ngamia za bwana wake, akaondoka, akiwa amechukua aina zote za vitu vizuri kutoka kwa bwana wake. Akaelekea Aramu-Naharaimu + 24:10 Yaani Mesopotamia ya Kaskazini-Magharibi. na kushika njia kwenda mji wa Nahori.
Genesis 24:24Yule msichana akamjibu, “Mimi ni binti wa Bethueli, mwana wa Milka aliyemzalia Nahori.”
Proverbs 25:25Kama vile maji baridi kwa nafsi iliyochoka 2 ndivyo zilivyo habari njema kutoka nchi ya mbali. 1