Genesis 22:23
Bethueli akamzaa Rebeka. Milka alimzalia Nahori nduguye Abrahamu hao wana wanane.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Bethuel begat Rebekah: these eight Milcah did bear to Nahor, Abraham’s brother.
In Context
22Kesedi, Hazo, Pildashi, Yidlafu na Bethueli.”
24Suria wake Nahori aliyeitwa Reuma pia alikuwa na wana: Teba, Gahamu, Tahashi na Maaka.
Cross References
Genesis 24:15Ikawa kabla hajamaliza kuomba, Rebeka akatokea akiwa na mtungi begani mwake. Alikuwa binti wa Bethueli. Bethueli alikuwa mwana wa Milka aliyekuwa mke wa Nahori ndugu wa Abrahamu.
Genesis 24:47“Nikamuuliza, ‘Wewe ni binti wa nani?’ “Akasema, ‘Mimi ni binti wa Bethueli, mwana wa Nahori, Milka aliyemzalia.’ “Ndipo nilipotia pete puani mwake na bangili mikononi mwake,
Genesis 24:60Wakambariki Rebeka, wakamwambia, 1 “Ndugu yetu, uwe wewe kumi elfu, 2 mara elfu nyingi, 1 nao wazao wako wamiliki 2 malango ya adui zao.”
Genesis 25:20Isaki alikuwa na umri wa miaka arobaini alipomwoa Rebeka binti Bethueli Mwaramu kutoka Padan-Aramu, nduguye Labani Mwaramu.
Genesis 28:5Kisha Isaki akamuaga Yakobo, naye akaenda Padan-Aramu, kwa Labani mwana wa Bethueli Mwaramu, ndugu wa Rebeka, aliyekuwa mama wa Yakobo na Esau.