Genesis 24:47
“Nikamuuliza, ‘Wewe ni binti wa nani?’ “Akasema, ‘Mimi ni binti wa Bethueli, mwana wa Nahori, Milka aliyemzalia.’ “Ndipo nilipotia pete puani mwake na bangili mikononi mwake,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 24:53Ndipo huyo mtumishi akatoa vitu vilivyotengenezwa kwa dhahabu na kwa fedha pamoja na mavazi, akampa Rebeka, pia akawapa zawadi za thamani kubwa nduguye na mamaye.
Psalms 45:13Utukufu wote una binti mfalme katika chumba chake; 2 vazi lake limefumwa kwa nyuzi za dhahabu. 1
Isaiah 62:3Utakuwa taji ya fahari mkononi mwa Bwana, 2 taji ya kifalme mkononi mwa Mungu wako. 1
Ephesians 5:26kusudi alifanye takatifu, akilitakasa kwa kuliosha kwa maji katika Neno lake,