Genesis 22:6
Abrahamu akachukua kuni kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa, akamtwika Isaki mwanawe, yeye mwenyewe akachukua moto na kisu. Walipokuwa wakienda pamoja,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 2:6Kisha Eliya akamwambia, “Kaa hapa. Bwana amenituma kwenda Yordani.” Naye akamjibu, “Kwa hakika kama Bwana aishivyo na wewe uishivyo, sitakuacha.” Hivyo wote wawili wakaendelea pamoja.
Matthew 8:17Haya yalifanyika ili litimie lile lililonenwa kwa kinywa cha nabii Isaya kwamba: 1 “Mwenyewe alitwaa udhaifu wetu 2 na alichukua magonjwa yetu.” 1 Gharama Ya Kumfuata Yesu (Luka 9:57-62)
John 19:17Yesu, akiwa ameubeba msalaba wake, akatoka kuelekea mahali palipoitwa Fuvu la Kichwa (kwa Kiebrania ni Golgotha).