bible.software › Genesis › Genesis 24 › Genesis 24:23
Genesis 24:23
Kisha akamuuliza, “Wewe ni binti wa nani? Tafadhali uniambie, je, kuna nafasi katika nyumba ya baba yako tutakapoweza kulala?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And said, Whose daughter art thou? tell me, I pray thee: is there room in thy father’s house for us to lodge in?
In Context
22Ikawa ngamia walipokwisha kunywa wote, yule mtumishi akampa huyo msichana pete ya puani ya dhahabu yenye uzito wa beka moja + 24:22 Beka moja ya dhahabu ni sawa na gramu 5.5. na bangili mbili za dhahabu zenye uzito wa shekeli kumi. + 24:22 Shekeli 10 za dhahabu ni sawa na gramu 110.
24Yule msichana akamjibu, “Mimi ni binti wa Bethueli, mwana wa Milka aliyemzalia Nahori.”
Read all of Genesis 24
This Verse In Other Editions
Study Genesis 24:23