Genesis 24:22
Ikawa ngamia walipokwisha kunywa wote, yule mtumishi akampa huyo msichana pete ya puani ya dhahabu yenye uzito wa beka moja + 24:22 Beka moja ya dhahabu ni sawa na gramu 5.5. na bangili mbili za dhahabu zenye uzito wa shekeli kumi. + 24:22 Shekeli 10 za dhahabu ni sawa na gramu 110.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 24:30Mara alipoiona ile pete puani, na bangili mikononi mwa dada yake na kusikia yale maneno Rebeka aliyoambiwa na huyo mtumishi, alimwendea huyo mtumishi, akamkuta amesimama karibu na ngamia wake pale karibu na kisima.
Exodus 32:2Aroni akawajibu, “Vueni vipuli vya dhahabu ambavyo wake zenu, wana wenu na binti zenu wamevaa, mkaniletee.”
Job 28:1“Kuna machimbo ya fedha, 2 na mahali dhahabu isafishwapo. 1
Jeremiah 2:32Je, mwanamwali husahau vito vyake, 2 au bibi arusi mapambo yake ya arusi? 1 Lakini watu wangu wamenisahau mimi, 2 tena kwa siku zisizo na hesabu. 1
1 Timothy 2:9Vivyo hivyo nataka wanawake wajipambe kwa adabu na kwa heshima katika mavazi yanayostahili, si kwa kusuka nywele, kuvalia dhahabu, lulu au mavazi ya gharama kubwa,
1 Peter 3:8Hatimaye, ninyi nyote kuweni na nia moja, wenye kuhurumiana, mkipendana kama ndugu, na mwe wasikitivu na wanyenyekevu.