Genesis 24:57
Ndipo wakasema, “Acha tumwite huyo binti tumuulize, tusikie atakavyosema.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they said, We will call the damsel, and enquire at her mouth.
In Context
58Kwa hiyo wakamwita Rebeka na kumuuliza, “Je, utakwenda na mtu huyu?” Akasema, “Nitakwenda.”
Cross References
Numbers 36:6Hivi ndivyo Bwana anavyoamuru kwa binti za Selofehadi: Wanaweza kuolewa na mtu yeyote wampendaye, mradi tu waolewe miongoni mwa koo za kabila za baba yao.