Mwanzo 24:58
Kwa hiyo wakamwita Rebeka na kumuuliza, “Je, utakwenda na mtu huyu?” Akasema, “Nitakwenda.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they called Rebekah, and said unto her, Wilt thou go with this man? And she said, I will go.
In Context
57Ndipo wakasema, “Acha tumwite huyo binti tumuulize, tusikie atakavyosema.”
59Hivyo wakamwaga ndugu yao Rebeka aondoke, pamoja na mjakazi wake, mtumishi wa Abrahamu na watu wake.
Cross References
Luke 1:38Maria akasema, “Tazama, mimi ni mtumishi wa Bwana. Na iwe kwangu kama ulivyosema.” Kisha malaika akaondoka, akamwacha. 1 Maria Aenda Kumtembelea Elizabeti