The Bible Software
bible.softwareMwanzoMwanzo 25 › Mwanzo 25:19

Mwanzo 25:19

Hivi ndivyo vizazi vya Isaki mwana wa Abrahamu. Abrahamu akamzaa Isaki,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And these are the generations of Isaac, Abraham’s son: Abraham begat Isaac:

In Context

18Wazao wa Ishmaeli waliishi kuanzia nchi ya Havila hadi Shuri, karibu na mpaka wa Misri, unapoelekea Ashuru. Hao waliishi kwa uhasama na ndugu zao wote. 1 Yakobo Na Esau

20Isaki alikuwa na umri wa miaka arobaini alipomwoa Rebeka binti Bethueli Mwaramu kutoka Padan-Aramu, nduguye Labani Mwaramu.

Read all of Mwanzo 25

Cross References

Genesis 21:3Abrahamu akamwita Isaki yule mwana ambaye Sara alimzalia.

1 Chronicles 1:32Wana waliozaliwa na Ketura suria wa Abrahamu walikuwa: 2 Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua. 1 Wana wa Yokshani walikuwa: 2 Sheba na Dedani. 1

Matthew 1:2Abrahamu akamzaa Isaki, 2 Isaki akamzaa Yakobo, 2 Yakobo akawazaa Yuda na ndugu zake, 2

Acts 7:8Ndipo akampa Abrahamu Agano la tohara. Naye Abrahamu akamzaa Isaki na kumtahiri siku ya nane. Baadaye Isaki akamzaa Yakobo, naye Yakobo akawazaa wale wazee wetu kumi na wawili.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mwanzo 25:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mwanzo 25:18Mwanzo 25Mwanzo 25:20 →