The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 1 › Matthew 1:2

Matthew 1:2

Abrahamu akamzaa Isaki, 2 Isaki akamzaa Yakobo, 2 Yakobo akawazaa Yuda na ndugu zake, 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Abraham begat Isaac; and Isaac begat Jacob; and Jacob begat Judas and his brethren;

In Context

1Habari za ukoo wa Yesu Kristo mwana wa Daudi, mwana wa Abrahamu: 1

3Yuda akawazaa Peresi na Zera, ambao mama yao alikuwa Tamari, 2 Peresi akamzaa Hesroni, 2 Hesroni akamzaa Aramu, 2

Read all of Matthew 1

Cross References

Genesis 21:2Sara akapata mimba, akamzalia Abrahamu mwana katika uzee wake, majira yale ya Mungu aliomwahidi.

Genesis 29:32Lea akapata mimba akazaa mwana. Akamwita Reubeni, + 29:32 Reubeni maana yake Ona mwana, yaani Yehova ameangalia taabu yangu. kwa maana alisema, “Ni kwa sababu Bwana ameona huzuni yangu. Hakika mume wangu sasa atanipenda.”

Genesis 35:16Kisha wakaondoka Betheli. Walipokuwa umbali fulani kabla ya kufika Efrathi, Raheli akaanza kusikia uchungu na alipata shida kuu.

Genesis 49:8“Yuda, ndugu zako watakusifu; 2 mkono wako utakuwa shingoni mwa adui zako; 2 wana wa baba yako watakusujudia. 1

Joshua 24:2Yoshua akawaambia watu wote, “Hili ndilo Bwana, Mungu wa Israeli, asemalo: ‘Hapo zamani baba zenu, pamoja na Tera baba yake Abrahamu na Nahori, waliishi ngʼambo ya Mto nao waliiabudu miungu mingine.

1 Chronicles 1:34Abrahamu alikuwa baba wa Isaki. 1 Wana wa Isaki walikuwa: 2 Esau na Israeli. 1 Wana Wa Esau (Mwanzo 36:1-19) 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 1:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 1:1Matthew 1Matthew 1:3 →