bible.software › Mwanzo › Mwanzo 25 › Mwanzo 25:24
Mwanzo 25:24
Wakati wake wa kujifungua ulipotimia, walikuwepo mapacha wa kiume tumboni mwake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when her days to be delivered were fulfilled, behold, there were twins in her womb.
In Context
23Bwana akamjibu, 1 “Mataifa mawili yamo tumboni mwako, 2 na mataifa hayo mawili 2 kutoka ndani yako watatenganishwa. 1 Mmoja atakuwa na nguvu zaidi kuliko mwingine, 2 na yule mkubwa atamtumikia yule mdogo.”
25Wa kwanza kuzaliwa alikuwa mwekundu, mwili wake wote ulikuwa kama mtu aliyevaa vazi lenye nywele; wakamwita jina lake Esau. + 25:25 Esau maana yake Mwenye nywele nyingi.
Read all of Mwanzo 25
Cross References
Genesis 38:27Wakati ulipofika wa kujifungua, kukawa na wana mapacha tumboni mwake.
Joshua 24:4naye Isaki nikampa Yakobo na Esau. Esau nikampa nchi ya vilima ya Seiri, lakini Yakobo pamoja na wanawe wakashuka Misri.
This Verse In Other Editions
Study Mwanzo 25:24