bible.software › Mwanzo › Mwanzo 38 › Mwanzo 38:27
Mwanzo 38:27
Wakati ulipofika wa kujifungua, kukawa na wana mapacha tumboni mwake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And it came to pass in the time of her travail, that, behold, twins were in her womb.
In Context
26Yuda akavitambua na kusema, “Yeye ana haki kuliko mimi, kwa kuwa sikumkabidhi kwa mwanangu Shela ili awe mkewe.” Tangu hapo hakukutana naye kimwili tena.
28Alipokuwa akijifungua, mmoja akatoa mkono wake nje, kwa hiyo mkunga akachukua uzi mwekundu na kuufunga mkononi mwa yule mtoto, akasema, “Huyu ametoka kwanza.”
Read all of Mwanzo 38
Cross References
Genesis 25:24Wakati wake wa kujifungua ulipotimia, walikuwepo mapacha wa kiume tumboni mwake.
This Verse In Other Editions
Study Mwanzo 38:27