The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 25 › Genesis 25:30

Genesis 25:30

Esau akamwambia Yakobo, “Haraka, nipe huo mchuzi mwekundu! Nina njaa kali sana!” (Hii ndiyo sababu pia aliitwa Edomu.) + 25:30 Edomu maana yake Mwekundu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Esau said to Jacob, Feed me, I pray thee, with that same red pottage; for I am faint: therefore was his name called Edom.

In Context

29Siku moja Yakobo alipika mchuzi wa dengu, Esau akarudi kutoka porini akiwa na njaa kali.

31Yakobo akamjibu, “Niuzie kwanza haki yako ya mzaliwa wa kwanza.”

Read all of Genesis 25

Cross References

Genesis 32:4Akawaagiza akisema: “Hili ndilo mtakalomwambia bwana wangu Esau: ‘Mtumishi wako Yakobo anasema, nimekuwa nikiishi pamoja na Labani na nimekuwako huko mpaka sasa.

Genesis 36:8Kwa hiyo Esau (ambaye ni Edomu) aliishi katika nchi ya kilima huko Seiri.

Genesis 36:19Hawa ndio waliokuwa wana wa Esau (ndiye Edomu), na hawa ndio waliokuwa wakuu wao.

Exodus 15:15Wakuu wa Edomu wataogopa, 2 viongozi wa Moabu watatetemeka kwa hofu, 1 watu wa Kanaani watayeyuka, 2

Deuteronomy 23:7Usimchukie Mwedomu, kwa kuwa yeye ni ndugu yako. Usimchukie Mmisri, kwa sababu uliishi kama mgeni katika nchi yake.

Obadiah 1:1Maono ya Obadia. Hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi kuhusu Edomu: 1 Tumesikia ujumbe kutoka kwa Bwana: 2 Mjumbe alitumwa kwa mataifa kusema, 1 “Inukeni, twendeni tukapigane vita dhidi yake.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 25:30

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 25:29Genesis 25Genesis 25:31 →