Obadiah 1:1
Maono ya Obadia. Hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi kuhusu Edomu: 1 Tumesikia ujumbe kutoka kwa Bwana: 2 Mjumbe alitumwa kwa mataifa kusema, 1 “Inukeni, twendeni tukapigane vita dhidi yake.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2“Angalieni, nitawafanya wadogo miongoni mwa mataifa, 2 mtadharauliwa kabisa. 1
Cross References
Genesis 36:8Kwa hiyo Esau (ambaye ni Edomu) aliishi katika nchi ya kilima huko Seiri.
Psalms 137:7Kumbuka, Ee Bwana, walichokifanya Waedomu, 2 siku ile Yerusalemu ilipoanguka. 1 Walisema, “Bomoa, Bomoa 2 mpaka kwenye misingi yake!” 1
Isaiah 21:11Neno kuhusu Duma: 1 Mtu fulani ananiita kutoka Seiri, 2 “Mlinzi, usiku utaisha lini? 2 Mlinzi, usiku utaisha lini?” 1
Isaiah 34:1Njooni karibu, enyi mataifa, nanyi msikilize; 2 sikilizeni kwa makini, 2 enyi kabila za watu! 1 Dunia na isikie, navyo vyote vilivyo ndani yake, 2 ulimwengu na vyote vitokavyo ndani yake! 1
Isaiah 63:1Ni nani huyu anayekuja kutoka Edomu, 2 kutoka Bosra, mwenye mavazi yaliyotiwa madoa mekundu? 1 Ni nani huyu, aliyevikwa joho la kifahari, 2 anayetembea kwa ukuu wa nguvu zake? 1 “Mimi ndimi, nisemaye katika haki, 2 mwenye nguvu wa kuokoa.” 1
Jeremiah 9:25“Siku zinakuja, nitakapowaadhibu wale wote ambao wametahiriwa kimwili tu, asema Bwana,