Genesis 25:4
Wana wa Midiani walikuwa Efa, Eferi, Hanoki, Abida na Eldaa. Hawa wote walikuwa uzao wa Ketura.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Yokshani alikuwa baba wa Sheba na Dedani, wazao wa Dedani walikuwa Waashuri, Waletushi na Waleumi.
5Abrahamu akamwachia Isaki kila kitu alichokuwa nacho.
Cross References
Isaiah 60:6Makundi ya ngamia yatajaa katika nchi yako, 2 ngamia vijana wa Midiani na Efa. 1 Nao wote watokao Sheba watakuja, 2 wakichukua dhahabu na uvumba 2 na kutangaza sifa za Bwana. 1