The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 26 › Genesis 26:22

Genesis 26:22

Akaondoka huko, akachimba kisima kingine, wala hakuna yeyote aliyekigombania. Akakiita Rehobothi, + 26:22 Rehobothi maana yake ni Mungu ametufanyia nafasi. akisema, “Sasa Bwana ametufanyia nafasi, nasi tutastawi katika nchi.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he removed from thence, and digged another well; and for that they strove not: and he called the name of it Rehoboth; and he said, For now the LORD hath made room for us, and we shall be fruitful in the land.

In Context

21Kisha wakachimba kisima kingine, lakini hata hicho pia wakakigombania, akakiita Sitna. + 26:21 Sitna maana yake Upinzani.

23Kutoka pale akaenda Beer-Sheba.

Read all of Genesis 26

Cross References

Genesis 28:3Mungu Mwenyezi + 28:3 Mungu Mwenyezi hapa ni jina la Kiebrania, El-Shaddai (yaani Mungu Mwenye utoshelevu wote). na akubariki uwe na uzao uongezeke idadi yako upate kuwa jamii kubwa ya watu.

Exodus 1:7lakini Waisraeli walikuwa wamezaana na kuongezeka sana, idadi yao ikawa kubwa mno, kwa hiyo wakaijaza nchi.

Psalms 18:19Alinileta nje mahali penye nafasi tele, 2 akaniokoa kwa kuwa alipendezwa nami. 1

Psalms 119:32Nakimbilia katika njia ya maagizo yako, 2 kwa kuwa umeuweka moyo wangu huru. 2 Maombi Ili Kupata Ufahamu Wa Sheria 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 26:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 26:21Genesis 26Genesis 26:23 →