The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 26 › Genesis 26:21

Genesis 26:21

Kisha wakachimba kisima kingine, lakini hata hicho pia wakakigombania, akakiita Sitna. + 26:21 Sitna maana yake Upinzani.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And they digged another well, and strove for that also: and he called the name of it Sitnah.

In Context

20Lakini wachungaji wa Gerari wakagombana na wachungaji wa Isaki wakisema, “Maji haya ni yetu!” Ndipo akakiita kile kisima Eseki, + 26:20 Eseki maana yake ni Ugomvi. kwa sababu waligombana naye.

22Akaondoka huko, akachimba kisima kingine, wala hakuna yeyote aliyekigombania. Akakiita Rehobothi, + 26:22 Rehobothi maana yake ni Mungu ametufanyia nafasi. akisema, “Sasa Bwana ametufanyia nafasi, nasi tutastawi katika nchi.”

Read all of Genesis 26

Cross References

Ezra 4:6Mnamo mwanzo wa utawala wa Ahasuero, hao adui waliandika mashtaka dhidi ya watu wa Yuda na Yerusalemu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 26:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 26:20Genesis 26Genesis 26:22 →