Genesis 26:30
Basi Isaki akawaandalia karamu, nao wakala na kunywa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he made them a feast, and they did eat and drink.
In Context
Cross References
Genesis 21:8Mtoto akakua, akaachishwa kunyonya. Siku hiyo Isaki alipoachishwa kunyonya, Abrahamu alifanya sherehe kubwa.
Exodus 18:12Kisha Yethro, baba mkwe wa Mose, akaleta sadaka ya kuteketezwa na dhabihu nyingine kwa Mungu, naye Aroni pamoja na wazee wote wa Israeli wakaja kula chakula pamoja na baba mkwe wa Mose mbele za Mungu. 1 Ushauri Wa Yethro (Kumbukumbu 1:9-18)
Hebrews 12:14Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote na huo utakatifu, ambao bila kuwa nao hakuna mtu atakayemwona Bwana.