Waebrania 12:14
Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote na huo utakatifu, ambao bila kuwa nao hakuna mtu atakayemwona Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Follow peace with all men, and holiness, without which no man shall see the Lord:
In Context
Cross References
Genesis 32:30Kwa hiyo Yakobo akapaita mahali pale Penieli, + 32:30 Penieli maana yake Uso wa Mungu, ambalo ni sawa na Penueli kwa Kiebrania. akasema, “Ni kwa sababu nimemwona Mungu uso kwa uso na bado maisha yangu yameokoka.”
Job 19:26Nami baada ya ngozi yangu kuharibiwa, 2 bado nikiwa na mwili huu nitamwona Mungu; 1
Psalms 34:14Aache uovu, atende mema, 2 aitafute amani na kuifuatilia. 1
Psalms 94:15Hukumu itasimamishwa tena kwenye haki, 2 wote walio na mioyo minyofu wataifuata. 1
Psalms 133:1Tazama jinsi ilivyo vyema na kupendeza 2 wakati ndugu wanapoishi pamoja katika umoja! 1
Proverbs 16:7Njia za mtu zinapompendeza Bwana, 2 huwafanya hata adui zake waishi naye kwa amani. 1