Mwanzo 27:15
Kisha Rebeka akachukua nguo nzuri za Esau mwanawe wa kwanza, alizokuwa nazo nyumbani, akamvika Yakobo mwanawe mdogo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Pia akamfunika mikononi na sehemu laini ya shingo kwa ngozi za mbuzi.
Cross References
Genesis 27:27Kwa hiyo akamwendea akambusu. Isaki aliposikia harufu ya nguo zake, akambariki, akasema, 1 “Aha, harufu ya mwanangu 2 ni kama harufu ya shamba 2 ambalo Bwana amelibariki. 1
Luke 20:46“Jihadharini na walimu wa sheria. Wao hupenda kutembea wakiwa wamevaa mavazi marefu, na kusalimiwa kwa heshima masokoni. Hupenda kukaa kwenye viti vya mbele katika masinagogi, na kukaa kwenye nafasi za heshima katika karamu.