Genesis 27:16
Pia akamfunika mikononi na sehemu laini ya shingo kwa ngozi za mbuzi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And she put the skins of the kids of the goats upon his hands, and upon the smooth of his neck:
In Context
17Hatimaye akampa Yakobo hicho chakula kitamu pamoja na mkate aliouoka.
Cross References
Genesis 27:23Hakumtambua, kwa sababu mikono yake ilikuwa na nywele kama ya ndugu yake Esau, kwa hiyo akambariki.