Mwanzo 27:17
Hatimaye akampa Yakobo hicho chakula kitamu pamoja na mkate aliouoka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And she gave the savoury meat and the bread, which she had prepared, into the hand of her son Jacob.
In Context
16Pia akamfunika mikononi na sehemu laini ya shingo kwa ngozi za mbuzi.
18Akamwendea baba yake akasema, “Baba yangu.” Akajibu, “Naam, mwanangu, wewe ni nani?”