Genesis 27:21
Kisha Isaki akamwambia Yakobo, “Mwanangu tafadhali sogea karibu nami ili nikupapase, nione kama hakika ndiwe Esau mwanangu, au la.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 27:12Itakuwaje kama baba yangu akinigusa? Itaonekana kwake kama niliyemfanyia ujanja na kuleta laana juu yangu badala ya baraka.”
Isaiah 57:19nikiumba sifa midomoni ya waombolezaji 2 katika Israeli. 1 Amani, amani, kwa wale walio mbali 2 na kwa wale walio karibu,” 2 asema Bwana. “Nami nitawaponya.” 1