Isaya 57:19
nikiumba sifa midomoni ya waombolezaji 2 katika Israeli. 1 Amani, amani, kwa wale walio mbali 2 na kwa wale walio karibu,” 2 asema Bwana. “Nami nitawaponya.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Nimeziona njia zake, lakini nitamponya, 2 nitamwongoza na kumrudishia upya faraja, 1
Cross References
Isaiah 6:7Akanigusa nalo kinywa changu na kusema, “Tazama, hili limegusa midomo yako, uovu wako umeondolewa, nayo dhambi yako imesamehewa.”
Jeremiah 33:6“ ‘Hata hivyo, nitauletea afya na uponyaji, nitawaponya watu wangu na kuwafanya wafurahie amani tele na salama.
Hosea 14:5Nitakuwa kama umande kwa Israeli; 2 atachanua kama yungiyungi. 1 Kama mwerezi wa Lebanoni 2 atashusha mizizi yake chini; 1
Mark 16:15Akawaambia, “Enendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
Luke 10:5“Mkiingia katika nyumba yoyote, kwanza semeni, ‘Amani iwe kwenu.’
Acts 2:39Kwa kuwa ahadi hii ni kwa ajili yenu na watoto wenu, na kwa wote walio mbali, na kila mtu ambaye Bwana Mungu wetu atamwita amjie.”