Genesis 27:34
Esau aliposikia maneno haya ya baba yake, akalia sauti kubwa na ya uchungu, na kumwambia baba yake, “Nibariki mimi, mimi pia, baba yangu!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
35Lakini akasema, “Ndugu yako amekuja kwa udanganyifu na akachukua baraka yako.”
Cross References
1 Samuel 30:4Hivyo Daudi na watu wake wakapiga yowe mpaka wakaishiwa na nguvu za kulia.
Proverbs 1:24Lakini kwa kuwa mlinikataa nilipowaita 2 na hakuna yeyote aliyekubali 2 niliponyoosha mkono wangu, 1
Proverbs 19:3Upumbavu wa mtu mwenyewe huharibu maisha yake 2 hata hivyo moyo wake humkasirikia Bwana. 1
Hebrews 12:17Baadaye kama mnavyofahamu, alipotaka kurithi ile baraka, alikataliwa, maana hakupata nafasi ya kutubu, ingawa aliitafuta kwa machozi.