Genesis 27:39
Baba yake Isaki akamjibu, akamwambia, 1 “Makao yako yatakuwa 2 mbali na utajiri wa dunia, 2 mbali na umande wa mbinguni juu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 27:27Kwa hiyo akamwendea akambusu. Isaki aliposikia harufu ya nguo zake, akambariki, akasema, 1 “Aha, harufu ya mwanangu 2 ni kama harufu ya shamba 2 ambalo Bwana amelibariki. 1
Genesis 36:6Esau akawachukua wake zake, watoto wake wa kiume na wa kike na wote wa nyumbani mwake, mifugo yake pamoja na wanyama wake wengine wote na mali yake yote ambayo alikuwa ameipata akiwa Kanaani, akahamia katika nchi iliyo mbali na Yakobo ndugu yake.
Hebrews 11:20Kwa imani Isaki alimbariki Yakobo na Esau kuhusu maisha yao ya baadaye.