Mwanzo 27:38
Esau akamwambia baba yake, “Je, baba yangu una baraka moja tu? Unibariki mimi pia, baba yangu!” Kisha Esau akalia kwa sauti kubwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 27:36Esau akasema, “Si ndiyo sababu anaitwa Yakobo? Amenidanganya mara hizi mbili: Alichukua haki yangu ya kuzaliwa na sasa amechukua baraka yangu!” Kisha akauliza, “Hukubakiza hata baraka moja kwa ajili yangu?”
Proverbs 1:24Lakini kwa kuwa mlinikataa nilipowaita 2 na hakuna yeyote aliyekubali 2 niliponyoosha mkono wangu, 1
Isaiah 65:14Watumishi wangu wataimba 2 kwa furaha ya mioyo yao, 1 lakini ninyi mtalia 2 kutokana na uchungu wa moyoni, 1 na kupiga yowe kwa sababu 2 ya uchungu wa roho zenu. 1