Genesis 27:42
Rebeka alipokwisha kuambiwa yale aliyoyasema Esau mwanawe mkubwa, alimwita Yakobo mwanawe mdogo, akamwambia, “Ndugu yako Esau anajifariji kwa wazo la kukuua.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
43Sasa basi, mwanangu, fanya nisemalo: Kimbilia haraka kwa Labani ndugu yangu kule Harani.
Cross References
Genesis 37:18Ndugu zake walipomwona akiwa mbali, kabla hajawafikia, wakapanga shauri baya la kumuua.
1 Samuel 30:5Wake wawili wa Daudi walikuwa wametekwa: yaani Ahinoamu wa Yezreeli, na Abigaili, mjane wa Nabali wa Karmeli.
Psalms 64:5Kila mmoja humtia moyo mwenzake 2 katika mipango mibaya; 1 huzungumza juu ya kuficha mitego yao, 2 nao husema, “Ni nani ataiona?” 1
Proverbs 4:16Kwa kuwa hawawezi kulala mpaka watende uovu; 2 wanashindwa hata kusinzia mpaka wamwangushe mtu. 1