Proverbs 4:16
Kwa kuwa hawawezi kulala mpaka watende uovu; 2 wanashindwa hata kusinzia mpaka wamwangushe mtu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Epukana nayo, usisafiri katika njia hiyo; 2 achana nayo, na uelekee njia yako. 1
17Wanakula mkate wa uovu, 2 na kunywa mvinyo wa jeuri. 1
Cross References
Psalms 36:4Hata kitandani mwake hupanga hila mbaya, 2 hujitia katika njia ya dhambi 2 na hakatai lililo baya. 1
Proverbs 2:14wale wapendao kutenda mabaya 2 na kufurahia upotovu wa ubaya, 1
Jeremiah 9:4“Jihadhari na rafiki zako; 2 usiwaamini ndugu zako. 1 Kwa kuwa kila ndugu ni mdanganyifu, 2 na kila rafiki ni msingiziaji. 1
Luke 22:66Kulipopambazuka, baraza la wazee wa watu, + 22:66 Baraza la wazee hapa ina maana ya Sanhedrin ambalo lilikuwa ndilo Baraza la juu kabisa la utawala wa Kiyahudi, lililoundwa na wazee 70 pamoja na kuhani mkuu. yaani viongozi wa makuhani na walimu wa sheria, wakakutana pamoja, naye Yesu akaletwa mbele yao.
Acts 24:7Lakini jemadari Lisia alitujia na nguvu nyingi, akamwondoa mikononi mwetu,