The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 28 › Genesis 28:8

Genesis 28:8

Esau akatambua jinsi ambavyo baba yake Isaki anavyowachukia binti za Wakanaani.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Esau seeing that the daughters of Canaan pleased not Isaac his father;

In Context

7tena kwamba Yakobo amewatii baba yake na mama yake naye amekwenda Padan-Aramu.

9Ndipo Esau akaenda kwa Ishmaeli, akamwoa Mahalati, ndugu wa Nebayothi na binti wa Ishmaeli mwana wa Abrahamu, kuongezea wale wake wengine aliokuwa nao. 1 Ndoto Ya Yakobo Huko Betheli

Read all of Genesis 28

Cross References

Genesis 24:3Ninataka uape kwa Bwana, Mungu wa mbingu na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke kutoka binti za Wakanaani, ambao ninaishi miongoni mwao,

Genesis 26:35Hawa walikuwa chanzo cha huzuni ya Isaki na Rebeka.

1 Samuel 8:6Lakini wao waliposema, “Tupe mfalme wa kutuongoza,” hili lilimchukiza Samweli, hivyo akamwomba Bwana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 28:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 28:7Genesis 28Genesis 28:9 →