Genesis 29:12
Yakobo alikuwa amemwambia Raheli kuwa yeye alikuwa jamaa ya baba yake, na kwamba ni mwana wa Rebeka. Basi Raheli alikimbia na kumweleza baba yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Kisha Yakobo akambusu Raheli na akaanza kulia kwa sauti.
Cross References
Genesis 14:14Abramu alipopata habari kwamba jamaa yake amechukuliwa mateka, akawaita watu 318 wa nyumbani mwake waliokuwa wamefunzwa kupigana vita, wakawafuatilia hadi Dani.