Genesis 29:11
Kisha Yakobo akambusu Raheli na akaanza kulia kwa sauti.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jacob kissed Rachel, and lifted up his voice, and wept.
In Context
Cross References
Genesis 27:26Kisha Isaki baba yake akamwambia, “Njoo hapa, mwanangu, unibusu.”
Genesis 33:4Lakini Esau akamkimbilia Yakobo kumlaki na kumkumbatia, akamwangukia shingoni na kumbusu. Nao wakalia.
Genesis 45:2Naye akalia kwa sauti kubwa kiasi kwamba Wamisri walimsikia, hata watu wa nyumbani mwa Farao wakapata hizo habari.
Exodus 4:27Bwana akamwambia Aroni, “Nenda jangwani ukamlaki Mose.” Basi akakutana na Mose kwenye mlima wa Mungu, akambusu.
Romans 16:16Salimianeni ninyi kwa ninyi kwa busu takatifu. 1 Makanisa yote ya Kristo yanawasalimu. 1 Maelekezo Ya Mwisho