Genesis 29:18
Yakobo akampenda Raheli, akamwambia Labani, “Nitakutumikia kwa miaka saba kwa ajili ya kumpata Raheli binti yako mdogo.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jacob loved Rachel; and said, I will serve thee seven years for Rachel thy younger daughter.
In Context
17Lea alikuwa na macho dhaifu, lakini Raheli alikuwa na umbo la kupendeza na mzuri wa sura.
Cross References
Genesis 29:30Pia Yakobo akakutana na Raheli kimwili, naye akampenda Raheli zaidi kuliko Lea. Yakobo akamtumikia Labani kwa miaka mingine saba. 1 Wana Wa Yakobo
Genesis 34:12Niambieni kiasi cha mahari na zawadi nitakayoileta, hata iwe kubwa kiasi gani, nami nitawalipa chochote mtakachodai. Nipeni tu huyu msichana awe mke wangu.”
2 Samuel 3:14Kisha Daudi akapeleka wajumbe kwa Ish-Boshethi mwana wa Sauli, kudai, “Nipe Mikali mke wangu, ambaye nilimposa mwenyewe kwa mahari ya magovi 100 ya Wafilisti.”
Hosea 12:12Yakobo alikimbilia katika nchi ya Aramu; 2 Israeli alitumika ili apate mke, 2 ili aweze kulipa kwa ajili yake alichunga kondoo. 1