Hosea 12:12
Yakobo alikimbilia katika nchi ya Aramu; 2 Israeli alitumika ili apate mke, 2 ili aweze kulipa kwa ajili yake alichunga kondoo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Bwana alimtumia nabii 2 kumpandisha Israeli kutoka Misri, 2 kwa njia ya nabii alimtunza. 1
Cross References
Genesis 27:43Sasa basi, mwanangu, fanya nisemalo: Kimbilia haraka kwa Labani ndugu yangu kule Harani.
Genesis 29:18Yakobo akampenda Raheli, akamwambia Labani, “Nitakutumikia kwa miaka saba kwa ajili ya kumpata Raheli binti yako mdogo.”
Genesis 32:27Yule mtu akamuuliza, “Jina lako nani?” Akajibu, “Yakobo.”
Hosea 4:15“Ingawa umefanya uzinzi, ee Israeli, 2 Yuda naye asije akawa na hatia. 1 “Usiende Gilgali, 2 usipande kwenda Beth-Aveni + 4:15 Beth-Aveni maana yake Nyumba ya Ubatili (au Uovu), jina lingine la Betheli kwa dhihaka. 1 Wala usiape, 2 ‘Hakika kama Bwana aishivyo!’ 1