The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 3 › Genesis 3:19

Genesis 3:19

Kwa jasho la uso wako 2 utakula chakula chako 1 hadi utakaporudi ardhini, 2 kwa kuwa ulitwaliwa kutoka humo, 1 kwa kuwa wewe u mavumbi 2 na mavumbini wewe utarudi.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

In the sweat of thy face shalt thou eat bread, till thou return unto the ground; for out of it wast thou taken: for dust thou art, and unto dust shalt thou return.

In Context

18Itazaa miiba na mibaruti kwa ajili yako, 2 nawe utakula mimea ya shambani. 1

20Adamu akamwita mkewe Eva, kwa kuwa atakuwa mama wa wote walio hai.

Read all of Genesis 3

Cross References

Genesis 5:5Adamu aliishi jumla ya miaka 930, ndipo akafa.

Genesis 23:4“Mimi ni mpitaji na mgeni miongoni mwenu. Niuzieni sehemu ya ardhi yenu ili niweze kumzika maiti wangu.”

Job 10:9Kumbuka kuwa ulinifinyanga kama udongo wa mfinyanzi. 2 Je, sasa utanifanya kuwa mavumbi tena? 1

Job 19:26Nami baada ya ngozi yangu kuharibiwa, 2 bado nikiwa na mwili huu nitamwona Mungu; 1

Job 34:15wanadamu wote wangeliangamia kwa pamoja, 2 na mtu angerudi mavumbini. 1

Psalms 22:29Matajiri wote wa dunia watasherehekea na kuabudu. 2 Wote waendao mavumbini 2 watapiga magoti mbele yake, 1 wote ambao hawawezi 2 kudumisha uhai wao. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 3:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 3:18Genesis 3Genesis 3:20 →