Ayubu 19:26
Nami baada ya ngozi yangu kuharibiwa, 2 bado nikiwa na mwili huu nitamwona Mungu; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And though after my skin worms destroy this body, yet in my flesh shall I see God:
In Context
Cross References
Psalms 16:11Umenijulisha njia ya uzima; 2 utanijaza na furaha mbele zako, 1 pamoja na furaha za milele 2 katika mkono wako wa kuume.
Matthew 5:8Heri walio na moyo safi, 2 maana hao watamwona Mungu. 1
1 Corinthians 15:53Kwa maana mwili huu wa kuharibika lazima uvae kutokuharibika, nao huu wa kufa lazima uvae kutokufa.
1 John 3:2Wapendwa, sasa tu wana wa Mungu, lakini bado haijadhihirika tutakavyokuwa, lakini twajua ya kwamba yeye atakapodhihirishwa, tutafanana naye, kwa maana tutamwona kama alivyo.