Genesis 3:21
Bwana Mungu akawatengenezea Adamu na mkewe mavazi ya ngozi, akawavika.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Unto Adam also and to his wife did the LORD God make coats of skins, and clothed them.
In Context
20Adamu akamwita mkewe Eva, kwa kuwa atakuwa mama wa wote walio hai.
Cross References
Isaiah 61:10Ninafurahia sana katika Bwana, 2 nafsi yangu inashangilia katika Mungu wangu. 1 Kwa maana amenivika mavazi ya wokovu, 2 na kunipamba kwa joho la haki, 1 kama vile bwana arusi apambavyo 2 kichwa chake kama kuhani, 1 na kama bibi arusi ajipambavyo 2 kwa vito vyake vya thamani. 1
1 Corinthians 12:23Navyo vile viungo tunavyoviona havina heshima, ndivyo tunavipa heshima maalum. Vile viungo vya mwili ambavyo havina uzuri, tunavipa heshima ya pekee;
2 Corinthians 5:21Kwa maana Mungu alimfanya yeye asiyekuwa na dhambi kuwa dhambi kwa ajili yetu, ili sisi tupate kufanywa haki ya Mungu kwake yeye.