The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 61 › Isaya 61:10

Isaya 61:10

Ninafurahia sana katika Bwana, 2 nafsi yangu inashangilia katika Mungu wangu. 1 Kwa maana amenivika mavazi ya wokovu, 2 na kunipamba kwa joho la haki, 1 kama vile bwana arusi apambavyo 2 kichwa chake kama kuhani, 1 na kama bibi arusi ajipambavyo 2 kwa vito vyake vya thamani. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I will greatly rejoice in the LORD, my soul shall be joyful in my God; for he hath clothed me with the garments of salvation, he hath covered me with the robe of righteousness, as a bridegroom decketh himself with ornaments, and as a bride adorneth herself with her jewels.

In Context

9Wazao wao watajulikana miongoni mwa mataifa, 2 na uzao wao miongoni mwa kabila za watu. 1 Wale wote watakaowaona watatambua 2 kuwa ni taifa ambalo Bwana amelibariki.” 1

11Kwa maana kama vile ardhi ifanyavyo chipukizi kuota, 2 na bustani isababishavyo mbegu kuota, 1 ndivyo Bwana Mwenyezi atafanya haki na sifa 2 zichipuke mbele ya mataifa yote.

Read all of Isaya 61

Cross References

Exodus 28:2Mshonee Aroni ndugu yako mavazi matakatifu ili yampe ukuu na heshima.

2 Chronicles 6:41“Sasa inuka, Ee Bwana Mungu, 2 na uje mahali pako pa kupumzikia, 2 wewe na Sanduku la nguvu zako. 1 Makuhani wako, Ee Bwana Mungu, 2 na wavikwe wokovu, 1 watakatifu wako na wafurahi 2 katika wema wako. 1

Psalms 28:7Bwana ni nguvu zangu na ngao yangu, 2 moyo wangu umemtumaini yeye, 2 nami nimesaidiwa. 1 Moyo wangu unarukaruka kwa furaha 2 nami nitamshukuru kwa wimbo. 1

Psalms 45:13Utukufu wote una binti mfalme katika chumba chake; 2 vazi lake limefumwa kwa nyuzi za dhahabu. 1

Psalms 132:16Nitawavika makuhani wake wokovu, 2 nao watakatifu wake watadumu wakiimba kwa furaha. 1

Isaiah 35:10waliokombolewa na Bwana watarudi. 1 Wataingia Sayuni wakiimba; 2 furaha ya milele itakuwa juu ya vichwa vyao. 1 Watapata furaha na shangwe; 2 huzuni na majonzi vitakimbia.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 61:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 61:9Isaya 61Isaya 61:11 →