bible.software › Genesis › Genesis 30 › Genesis 30:14
Genesis 30:14
Wakati wa kuvuna ngano, Reubeni akaenda shambani akakuta tunguja, ambazo alizileta kwa Lea mama yake. Raheli akamwambia Lea, “Tafadhali nakuomba unipe baadhi ya tunguja za mwanao.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Reuben went in the days of wheat harvest, and found mandrakes in the field, and brought them unto his mother Leah. Then Rachel said to Leah, Give me, I pray thee, of thy son’s mandrakes.
In Context
13Ndipo Lea aliposema, “Jinsi gani nilivyo na furaha! Wanawake wataniita furaha.” Kwa hiyo akamwita Asheri. + 30:13 Asheri maana yake Nimefurahi, yaani Mungu amenifurahisha.
15Lakini Lea akamwambia, “Haikukutosha kumtwaa mume wangu? Je, utachukua na tunguja za mwanangu pia?” Raheli akasema, “Vema sana! Yakobo atakutana nawe kimwili leo usiku, kwa malipo ya tunguja za mwanao.”
Read all of Genesis 30
Cross References
Song of Solomon 7:13Mitunguja hutoa harufu zake nzuri, 2 kwenye milango yetu kuna matunda mazuri, 1 mapya na ya zamani, 2 ambayo nimekuhifadhia wewe, 2 mpenzi wangu.
This Verse In Other Editions
Study Genesis 30:14