The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 30 › Genesis 30:13

Genesis 30:13

Ndipo Lea aliposema, “Jinsi gani nilivyo na furaha! Wanawake wataniita furaha.” Kwa hiyo akamwita Asheri. + 30:13 Asheri maana yake Nimefurahi, yaani Mungu amenifurahisha.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Leah said, Happy am I, for the daughters will call me blessed: and she called his name Asher.

In Context

12Mtumishi wa kike wa Lea akamzalia Yakobo mwana wa pili.

14Wakati wa kuvuna ngano, Reubeni akaenda shambani akakuta tunguja, ambazo alizileta kwa Lea mama yake. Raheli akamwambia Lea, “Tafadhali nakuomba unipe baadhi ya tunguja za mwanao.”

Read all of Genesis 30

Cross References

Genesis 35:26Wana waliozaliwa na Zilpa mtumishi wa kike wa Lea walikuwa: 2 Gadi na Asheri. Hawa walikuwa wana wa Yakobo, waliozaliwa kwake akiwa Padan-Aramu.

Genesis 49:20“Chakula cha Asheri kitakuwa kinono, 2 naye atatoa chakula kitamu kimfaacho mfalme. 1

Proverbs 31:28Watoto wake huamka na kumwita aliyebarikiwa, 2 mumewe pia humsifu, akisema: 1

Luke 1:48kwa kuwa ameangalia kwa fadhili 2 unyonge wa mtumishi wake. 1 Hakika tangu sasa vizazi vyote vitaniita aliyebarikiwa, 2

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 30:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 30:12Genesis 30Genesis 30:14 →