bible.software › Genesis › Genesis 30 › Genesis 30:16
Genesis 30:16
Kwa hiyo Yakobo alipokuja kutoka shambani jioni ile, Lea akaenda kumlaki, akamwambia, “Lazima ukutane nami kimwili. Nimekukodisha kwa tunguja za mwanangu.” Kwa hiyo akakutana naye kimwili usiku ule.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jacob came out of the field in the evening, and Leah went out to meet him, and said, Thou must come in unto me; for surely I have hired thee with my son’s mandrakes. And he lay with her that night.
In Context
15Lakini Lea akamwambia, “Haikukutosha kumtwaa mume wangu? Je, utachukua na tunguja za mwanangu pia?” Raheli akasema, “Vema sana! Yakobo atakutana nawe kimwili leo usiku, kwa malipo ya tunguja za mwanao.”
17Mungu akamsikiliza Lea, naye akapata mimba akamzalia Yakobo mwana wa tano.
Read all of Genesis 30
This Verse In Other Editions
Study Genesis 30:16