Genesis 30:17
Mungu akamsikiliza Lea, naye akapata mimba akamzalia Yakobo mwana wa tano.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And God hearkened unto Leah, and she conceived, and bare Jacob the fifth son.
In Context
Cross References
Genesis 30:22Ndipo Mungu akamkumbuka Raheli, akasikia maombi yake na akafungua tumbo lake.
1 Samuel 1:20Hivyo wakati ulipotimia, Hana akapata mimba na akamzaa mwana. Hana akamwita jina lake Samweli, akasema, “Kwa kuwa nilimwomba kwa Bwana.” 1 Hana Anamweka Samweli Wakfu
Luke 1:13Lakini malaika akamwambia, “Usiogope, Zekaria, kwa maana Mungu amesikia maombi yako. Mkeo Elizabeti atakuzalia mtoto wa kiume, nawe utamwita jina lake Yohana.