bible.software › Genesis › Genesis 30 › Genesis 30:28
Genesis 30:28
Akaongeza kumwambia, “Taja ujira wako nami nitakulipa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he said, Appoint me thy wages, and I will give it.
In Context
27Lakini Labani akamwambia, “Ikiwa nimepata kibali machoni pako, tafadhali ukae. Nimegundua kwa njia ya uaguzi kwamba Bwana amenibariki kwa sababu yako.”
29Yakobo akamwambia, “Unajua jinsi ambavyo nimekutumikia na jinsi ambavyo wanyama wako walivyolishwa vizuri chini ya uangalizi wangu.
Read all of Genesis 30
Cross References
Genesis 29:15Labani akamwambia, “Kwa vile wewe ni jamaa yangu, ndiyo sababu unifanyie kazi bila ujira? Niambie ujira wako utakuwa nini.”
This Verse In Other Editions
Study Genesis 30:28