bible.software › Mwanzo › Mwanzo 29 › Mwanzo 29:15
Mwanzo 29:15
Labani akamwambia, “Kwa vile wewe ni jamaa yangu, ndiyo sababu unifanyie kazi bila ujira? Niambie ujira wako utakuwa nini.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Laban said unto Jacob, Because thou art my brother, shouldest thou therefore serve me for nought? tell me, what shall thy wages be?
In Context
14Ndipo Labani akamwambia, “Wewe ni nyama yangu na damu yangu mwenyewe.” 1 Yakobo Awaoa Lea Na Raheli Baada ya Yakobo kukaa kwa Labani mwezi mzima,
16Labani alikuwa na binti wawili, binti mkubwa aliitwa Lea na binti mdogo aliitwa Raheli.
Read all of Mwanzo 29
Cross References
Genesis 30:28Akaongeza kumwambia, “Taja ujira wako nami nitakulipa.”
This Verse In Other Editions
Study Mwanzo 29:15