Genesis 30:9
Lea alipoona kuwa amekoma kuzaa watoto, alimchukua mtumishi wake wa kike Zilpa, naye akampa Yakobo awe mke wake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When Leah saw that she had left bearing, she took Zilpah her maid, and gave her Jacob to wife.
In Context
10Mtumishi wa Lea yaani Zilpa, akamzalia Yakobo mwana.
Cross References
Genesis 16:3Hivyo baada ya Abramu kuishi katika nchi ya Kanaani miaka kumi, Sarai akamchukua mtumishi wake wa kike wa Kimisri, Hagari na kumpa mumewe awe mke wake.
Genesis 29:35Akapata tena mimba, naye alipozaa mwana, akasema, “Wakati huu nitamsifu Bwana.” Kwa hiyo akamwita Yuda. + 29:35 Yuda maana yake Sifa, yaani Nitamsifu Yehova. Kisha akaacha kuzaa watoto.
Genesis 30:17Mungu akamsikiliza Lea, naye akapata mimba akamzalia Yakobo mwana wa tano.