Mwanzo 31:11
Malaika wa Mungu akaniambia katika ndoto, ‘Yakobo.’ Nikamjibu, ‘Mimi hapa.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the angel of God spake unto me in a dream, saying, Jacob: And I said, Here am I.
In Context
Cross References
Genesis 18:1Bwana akamtokea Abrahamu karibu na mialoni ya Mamre wakati alipokuwa ameketi kwenye ingilio la hema lake wakati wa adhuhuri.
Genesis 22:1Baadaye Mungu akamjaribu Abrahamu. Akamwambia, “Abrahamu!” Abrahamu akajibu, “Mimi hapa.”
Genesis 31:5Akawaambia, “Naona moyo wa baba yenu kwangu sivyo kama ulivyokuwa mwanzoni, lakini Mungu wa baba yangu amekuwa pamoja nami.
Genesis 48:15Ndipo akambariki Yosefu akisema, 1 “Mungu ambaye baba zangu 2 Abrahamu na Isaki walimtii, 1 Mungu ambaye amekuwa mchungaji 2 wa maisha yangu yote mpaka leo hii, 1
1 Samuel 3:4Kisha Bwana akamwita Samweli. Samweli akajibu, “Mimi hapa.”
1 Samuel 3:8Bwana akamwita Samweli mara ya tatu, naye Samweli akaamka kwenda kwa Eli na kusema, “Mimi hapa, kwa kuwa umeniita.” Ndipo Eli akatambua kuwa Bwana alikuwa akimwita kijana.