Genesis 31:10
“Wakati fulani majira ya kuzaliana niliota ndoto ambayo niliinua macho na kuona kwamba wale mabeberu waliokuwa wakipanda kundi walikuwa wa mistari, madoadoa na mabakabaka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Hivyo Mungu amechukua mifugo ya baba yenu na amenipa mimi.
11Malaika wa Mungu akaniambia katika ndoto, ‘Yakobo.’ Nikamjibu, ‘Mimi hapa.’
Cross References
Genesis 20:6Kisha Mungu akamwambia katika ndoto, “Ndiyo, najua ya kwamba umefanya haya kwa dhamiri safi, kwa hiyo nimekuzuia usinitende dhambi. Ndiyo sababu sikukuacha umguse.
Genesis 30:39wakapandwa hizo fito zikiwa mbele yao. Wanyama waliopata mimba mbele ya hizo fito walizaa wanyama wenye mistari, madoadoa na mabakabaka.
Numbers 12:6Bwana akasema, “Sikilizeni maneno yangu: 1 “Akiwapo nabii wa Bwana miongoni mwenu, 2 nitajifunua kwake kwa maono, 2 nitanena naye katika ndoto. 1
1 Kings 3:5Bwana akamtokea Solomoni huko Gibeoni wakati wa usiku katika ndoto, naye Mungu akasema, “Omba lolote utakalo nikupe.”