Genesis 31:16
Hakika utajiri wote ambao Mungu ameuchukua kutoka kwa baba yetu ni mali yetu na watoto wetu. Hivyo fanya lolote lile Mungu alilokuambia.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Ndipo Yakobo akawapandisha watoto wake na wake zake juu ya ngamia,
Cross References
Genesis 30:35Siku ile ile Yakobo akawaondoa beberu wote waliokuwa na mistari au madoadoa na mbuzi wake wote waliokuwa na mistari au madoadoa (wote waliokuwa na alama nyeupe juu yao) na wana-kondoo weusi wote, akawaweka chini ya uangalizi wa wanawe.
Genesis 32:14Mbuzi waume ishirini na mbuzi wake 200, kondoo dume ishirini na kondoo wake 200.