Genesis 32:14
Mbuzi waume ishirini na mbuzi wake 200, kondoo dume ishirini na kondoo wake 200.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Two hundred she goats, and twenty he goats, two hundred ewes, and twenty rams,
In Context
Cross References
Genesis 31:9Hivyo Mungu amechukua mifugo ya baba yenu na amenipa mimi.
Genesis 33:11Tafadhali ukubali zawadi iliyoletwa kwako, kwa kuwa Mungu amenineemesha na ninavyo vyote ninavyohitaji.” Kwa sababu Yakobo alisisitiza, Esau akapokea.
Deuteronomy 8:18Lakini kumbukeni Bwana Mungu wenu, ndiye ambaye huwapa uwezo wa kupata utajiri, na hivyo kulithibitisha Agano lake, ambalo aliwaapia baba zenu, kama ilivyo leo.
Job 1:3naye alikuwa na kondoo elfu saba, ngamia elfu tatu, jozi mia tano za maksai, na punda mia tano, tena alikuwa na idadi kubwa ya watumishi. Alikuwa mtu mkuu sana miongoni mwa watu wa Mashariki.
Proverbs 17:8Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho; 2 kokote kigeukiapo, hufanikiwa. 1