Mwanzo 31:18
naye akawaswaga wanyama wote mbele yake pamoja na vitu vyote alivyokuwa amechuma huko Padan-Aramu kwenda kwa baba yake Isaki katika nchi ya Kanaani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Ndipo Yakobo akawapandisha watoto wake na wake zake juu ya ngamia,
19Labani alipokuwa amekwenda kukata kondoo wake manyoya, Raheli aliiba miungu ya nyumba ya baba yake.
Cross References
Genesis 27:41Esau akawa na kinyongo dhidi ya Yakobo kwa ajili ya baraka ambazo baba yake alikuwa amembariki. Akasema moyoni mwake, “Siku za kuomboleza kwa ajili ya baba yangu zimekaribia, ndipo nitamuua ndugu yangu Yakobo.”
Genesis 32:6Wajumbe waliporudi kwa Yakobo, wakamwambia, “Tulikwenda kuonana na ndugu yako Esau, naye sasa anakuja kukulaki akifuatana na wanaume 400.”
Ecclesiastes 3:6wakati wa kutafuta na wakati wa kupoteza, 2 wakati wa kuweka na wakati wa kutupa, 2